28/03/2026
Mwongozo wa Mlo Bora wa Wiki
JUMATATU
• Asubuhi: Uji wa mtama na ulezi na karanga zilizosagwa.
• Mchana: Ugali, maharage na mchuzi wa n**i.
• Jioni: Supu ya mbogamboga iliyochanganyika na mkate wa ngano.
JUMANNE
• Asubuhi: Mayai ya kuchemsha, viazi vitamu, Chai ya mdalasini.
• Mchana: Wali wa kahawia na samaki wa kuokwa wa Tilapia.
• Jioni: Ndizi mzuzu.
JUMATANO
• Asubuhi: Mtindi usio na sukari, & mbegu za maboga.
• Mchana: Makande (mahindi na maharage).
• Jioni: Kuku wa Kienyeji.
ALHAMISI
• Asubuhi: Mkate wa ngano nzima na siagi ya karanga & chungwa.
• Mchana: Wali wa kahawia, kachumbari ya (dengu).
• Jioni: Supu ya kuku na mbogamboga.
IJUMAA
• Asubuhi: Uji wenye virutubisho ‘lishe’.
• Mchana: Ugali wa kahawia na samaki na viazi vitamu (tembele).
• Jioni: Tambi za ngano nzima, mchuzi wa nyama ya kusaga na nyanya.
JUMAMOSI
• Asubuhi: Ndizi choma na samaki mkavu & chai ya kijani.
• Mchana: Wali wa n**i wa kahawia, maharage mekundu, mbogamboga mchanganyiko.
• Jioni: Mishikaki, saladi kubwa ya majani & muhogo.
JUMAPILI
• Asubuhi: Juisi ya matunda mchanganyiko (nanasi na papai).
• Mchana: Pilau maalum, ya viungo, kachumbari & embe bichi.
• Jioni:Supu ya mbogamboga