28/08/2026
*KOPA NG’OMBE, LIPA MAZIWA*
Ufugaji ni fursa, na kupitia programu yetu ya IMBEJU Kilimo, fursa hizi zinaendelea kuwafikia wafugaji na kuwawezesha kuongeza tija na thamani katika mnyororo wa sekta ya nzima ya mifugo.
Nimugenderera muta abantu ba Kyerwa? 👋😃, Programu ya Kopa Ng’omBe, Lipa Maziwa, inapiga hodi kwenu ikilenga kuwawezesha wafugaji kuendeleza ufugaji wa kisasa, huku wakinufaika na soko la uhakika la maziwa.
Uzinduzi rasmi utafanyika;
📅 8–9 Septemba 2026
📍 Kitwe, Kyerwa – Kagera
👤 Mgeni Rasmi: Mhe. Balozi Dkt. Bashiru Ally, Waziri wa Mifugo na Uvuvi
IMBEJU Kilimo: Tunawekeza Wakulima. Tunawezesha wafugaji. Tunakuza uchumi.