Mapishi NA Viungo VYAKE

Mapishi NA Viungo VYAKE Tujifunze mapishi na namna ya kutumia viungo kwenye mapishi yetu ili kupata ladha na harufu nzuri.

Tsh 2000 tu unapata pilipili tamu kutoka kwetu haiwashi sana na tamuuu Balaaaa nauza kwa jumla na reja reja tunapatikana...
24/09/2024

Tsh 2000 tu unapata pilipili tamu kutoka kwetu haiwashi sana na tamuuu Balaaaa nauza kwa jumla na reja reja tunapatikana CHAMAZI-MBANDE Tunatuma mikoani na Dar tunakuletea popote ulipo kwa gharama za mteja 📞 0749449047 .

10/09/2024

BASI LEO TUPIKE SAMAKI CHUKUCHUKU AINA YA SATO ANGALIA VIDEO UJIFUNZE TUMETANGULIZA MAJANI YA MGOMBA CHINI ILI SAMAKI WETU ASISHIKIE NA PIA MAJANI YA MGOMBA YANA LETA HARUFU NA LADHA NZURI PIA KWENYE SAMAKI.

EBU LEO TUONGEE KUHUSU MAPISHI NA UNATUMIA VIUNGO GANI KUWEKA KWENYE NYAMA YA NG'OMBE KABLA YA KUICHEMSHA NA BAADA YA KU...
04/09/2024

EBU LEO TUONGEE KUHUSU MAPISHI NA UNATUMIA VIUNGO GANI KUWEKA KWENYE NYAMA YA NG'OMBE KABLA YA KUICHEMSHA NA BAADA YA KUICHEMSHA WAKATI WA KUIUNGA ROSTI HUWA UNAWEKA VIUNGO GANI 😋😋👌

01/09/2024

EBU LEO TUCHOME NYAMA YA NG'OMBE AU KWA LUGHA NYINGINE KUBANIKA NA VIUNGO TUTAKAVYO TUMIA NI. ANGALIA VIDEO UJIFUNZE

🔹GINGER GARLIC PASTE
🔸 OYSTER SAUCE
🔹NDIMU au LIMAO
🔸CHUMVI
🔹MAFUTA YA KUPIKIA
🔸AJNA MOTO
🔹OREGANO Crush

🔴Unaweza kuweka papai bichi pia k**a una haraka ila k**a huna haraka weka viungo tajwa hapo juu kisha weka kwenye fridge usiku mzima mpk kufika muda wa kuchoma nyama yako itakuwa imesha lainika na itawahi kuiva.

🔴Kwa Mahitaji ya Viungo tupigie 📞 0749449047

29/08/2024

Haya leo tupike hii chai Ya viungo au unaweza kuiita CHAI MASALA.

🔸MAHITAJI🔹

▪️Sukari
▪️Majani ya chai
▪️Mdarasini
▪️Iriki
▪️Rosemary
▪️Maziwa
▪️Tangawizi ya Unga
▪️Karafuu
▪️Maji ya uvuguvugu

🔴Angalia maelekezo vzr ukihitaji VIUNGO nicheki 0749449047 unaweza kutumia viungo vya unga (vilivyosagwa )k**a huna vya kawaida k**a kwenye video.

27/08/2024

VIUNGO VILIVYOTUMIKA KWENYE MARINATION YA SAMAKI NI.
🔹 Giligiliani (coriander)
🔸Jira(Cumin)
🔹 Chill (pilipili)
🔸Black pepper (pilipili manga) 🔹
🔸 turmeric (Binzari ya manjano)
🔹Chumvi
🔸 Vinegar, limao,ndimu
🔹Mafuta ya kupikia
🔸 Ginger garlic paste
🔹Soy sauce
🔹 Onion Powder (unga wa kitunguu maji)

🔴 Changanya vitu vyote hivi na uviweke kwenye fridge kwa muda wa nusu saa k**a una haraka k**a hauna haraka weka kwa lisaa lizima kabla ya kumkaanga Samaki.

🔴 Viungo vinasaidia kuondoa shombo la samaki na kukupa ladha nzuri katika samaki wako.

🔴Vipimo tumia measuring cups ya kijiko cha ½ k**a huna hizi measuring cups tumia kijiko kidogo cha chai .

❌USIZIDISHE VIPIMO VYA VIUNGO SAMAKI WAKO ATAKUWA MCHUNGU NA USIMCHOME KWA MAFUTA MAKALI SANA VIUNGO VITAUNGUA CHOMA AU MKAANGE KWA MOTO WA WASTANI NA USIMGEUZE GAUZE KILA MARA ATAVURUGIKA

🔴KWA MAHITAJI YA VIUNGO TUPIGIE 0749449047 TUNAPATIKANA CHAMAZI -MBANDE NA MIKOANI TUNATUMA KARIBUNI.

Address

TEMEKE
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mapishi NA Viungo VYAKE posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share