Jbeez home decor mwanza

Jbeez home decor mwanza Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Jbeez home decor mwanza, Home decor, Kona ya bwiru, barabara ya kilimahewa karibu na bigbite, Mwanza.

Tunauza Mapazia, Shuka, Duvet na vyombo nk
Tunauza jumla na rejareja
Tunafanya delivery mikoani kwa gharama za mteja
0678947637, Tupo wazi kila siku Jumatatu - Jumamosi 9:00 Am - 20:00 Pm,

04/09/2026

VIOO VISIVYOPASUKA Tsh 45,000/=

😍 Kioo kizuri, imara na chaguo bora kwa nyumba, ofisi au dukani!

βœ… Vinastand β€” unaweza kuweka sakafuni au ukutani
βœ… Havipasuki kirahisi
βœ… Vinapatikana BLACK πŸ–€ au GOLD ✨
βœ… Vinafaa nyumbani, ofisini au dukani

πŸ’° BEI YA OFFA: TSh 45,000/= πŸ”₯

πŸ“¦ WA JUMLA?
πŸ‘‰ Wasiliana nasi WhatsApp kwa bei ya jumla.

πŸ“ž CALL / WHATSAPP
πŸ“± 0678 947 637
πŸ“± 0710 938 761

πŸ“ LOCATION: Mwanza, Kilimahewa β€” maeneo ya Bigbite.
🚚 DELIVERY: Ndani ya Mwanza na mikoani ipo kwa gharama za mteja.

πŸš• BOLT SEARCH: πŸ”Ž JBEEZ HOME DECOR!

❌❌USISUBIRI SOLD OUT

27/08/2026

πŸ”₯πŸ”₯ ZULIA 3D – BEI ZA OFA! πŸ”₯πŸ”₯
βœ… SIZE 7Γ—8 + DOORMAT
πŸ’° TSh 50,000/=

βœ… SIZE 6Γ—7 + DOORMAT
πŸ’° TSh 45,000/=

πŸ“ž WASILIANA NASI | CALL/WHATSAPP
πŸ“± 0678 947 637
πŸ“± 0710 938 761

πŸ“ LOCATION:
Mwanza, Kilimahewa β€” maeneo ya Bigbite.

🚚 DELIVERY:
Ndani ya Mwanza na mikoani ipo kwa gharama za mteja.

πŸš• BOLT SEARCH:
πŸ”Ž JBEEZ HOME DECOR!

19/08/2026

πŸ”₯ OFFA MAALUMU KWA WATEJA WETU! πŸ”₯

✨ COFFEE TABLE 2PC
Kubwa + Ndogo

πŸ’° Rejareja: TSh 120,000/=
πŸ’° Jumla: TSh 110,000/= kwa set
πŸ“¦ Jumla kuanzia set 2

⚠️ Hakuna discount zaidi ya bei hii.

πŸ“ Mwanza, Kilimahewa maeneo ya Bigbite

🚚 Delivery ndani ya Mwanza na mikoani β€” gharama za mteja.

πŸ“ž CALL/WHATSAPP:
0678 947 637
0710 938 761

❀️ Hii ni sehemu ya shukrani zetu za dhati kwenu wateja wetu kwa kutuchagua na kuendelea kutuamini


04/08/2026

πŸŽ‰πŸ”₯ NANE NANE OFFER πŸ”₯πŸŽ‰

Usikose ofa hizi za kipekee kutoka JBEEZ HOME DECOR!

βœ… Coffee Table 2Pc (Kubwa na Ndogo) – TSh 120,000/=

πŸ’₯ Kwa wanunuzi wa jumla:
Coffee Table 2Pc kuanzia 2 ni TSh 110,000/= kwa set.

⏳ Wahi sasa kabla OFFA hii haijaisha!

πŸ“ Tunapatikana Mwanza, Kilimahewa maeneo ya Big Bite.

🚚 Delivery ndani ya Mwanza inapatikana kwa gharama za mteja.
πŸ“¦ Tunatuma pia mikoani kote kwa gharama za mteja.

πŸ“ž 0678 947 637
πŸ“ž 0710 938 761

Karibu sana JBEEZ HOME DECOR – Bei za ofa ni kwa muda maalum! ✨

03/08/2026

ZURIA MANYOYAπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

ZURIA ZA MANYOYA HIGH QUALITY
UKIIWEKA NDANI INABADILISHA KABISA MUONEKANO WA SEBULE YAKO

SIZE NI ft 6/7

Bei ni 45,000/=

πŸ“ Tunapatikana Mwanza, Kilimahewa maeneo ya Bigbite.

🚚 Delivery ndani ya Mwanza inapatikana, na tunatuma mikoani kote kwa gharama za mteja.

πŸ“² WhatsApp/Call:
βœ… +255 678 947 637
βœ… +255 710 938 761

Bolt search: JBEEZ HOME DECOR

Usikose ofa hii ya kipekee. Karibu upate yako leo! ✨

21/07/2026

πŸ”₯ OFFA YA MOTO – COFFEE TABLE 2 PIECES πŸ”₯

✨ Pata Coffee Table kubwa na ndogo kwa pamoja kwa bei ya ofa!

βœ… Muonekano wa kuvutia sana
βœ… Hubadilisha muonekano wa sebule yako
βœ… Zinapatikana kwa rangi Nyeupe na Nyeusi

πŸ’° Bei ya Ofa: TSh 125,000/=

πŸ“ Tunapatikana Mwanza, Kilimahewa maeneo ya Big Bite.

🚚 Delivery ndani ya Mwanza inapatikana kwa gharama za mteja.
πŸ“¦ Tunatuma pia mikoani kote kwa gharama za mteja.

πŸ“ž 0678 947 637
πŸ“ž 0710 938 761

Karibu sana JBEEZ HOME DECOR – Agiza yako leo! ✨

14/07/2026

πŸ”₯ ZURIA ZA MANYOYA ORIGINAL πŸ”₯

✨ Laini sana, zenye muonekano wa kisasa na zinazoongeza uzuri wa nyumba yako.

πŸ“ Size: 6Γ—7
πŸ’° Bei: TSh 45,000/=

πŸ“ Tunapatikana Mwanza, Kilimahewa maeneo ya Big Bite.

🚚 Delivery ndani ya Mwanza inapatikana kwa gharama za mteja.
πŸ“¦ Tunatuma pia mikoani kote kwa gharama za mteja.

πŸ“ž 0678 947 637
πŸ“ž 0710 938 761

Karibu sana JBEEZ HOME DECOR – Agiza yako leo! ✨

12/07/2026

✨ OFFAA BEI YA SABASABA KIOO CHA KUSIMAMA (Full Body Mirror) ✨
πŸͺž Kioo kikubwa cha kujitazama mwili mzima.
βœ… Muundo wa kisasa wenye kona zilizozunguka (rounded corners).
βœ… Kioo chenye mwonekano safi na picha halisi.
βœ… Fremu imara ya rangi nyeusi inayodumu kwa muda mrefu.
βœ… Kinaweza kutegeshwa ukutani au kuegeshwa sakafuni kulingana na matumizi yako.
βœ… Kinafaa kwa:

* Chumbani
* Sebuleni
* Dressing room
* Boutique
* Saluni
* Studio za picha

πŸ“ Size: Full Body Mirror

πŸ’° Bei: Tsh 45,000/=

πŸ“ Location: Mwanza, Kilimahewa – karibu na Big Bite.

🚚 Tunafanya delivery ndani ya Mwanza na tunatuma mikoani kote kwa gharama za mteja.

πŸ“² WhatsApp/Call: +255 678 947 637

β€œJione vizuri kila siku kwa kioo chenye ubora na muonekano wa kisasa.” ✨

10/07/2026

πŸ”₯ OFFA OFFAA YA MOTO 165,000/= tuuπŸ”₯
YA KITAJIRI HIII
πŸ–€ Colour: Black�✨ Jumla ya vioo 3�🏑 Muonekano wa kifahari unaoongeza uzuri wa sebule yako.
πŸ’° Bei: TSh 165,000/=οΏ½Unapata meza kubwa 1 na meza ndogo 1 yenye vioo viwili.
πŸ“ Tunapatikana Mwanza, Kilimahewa maeneo ya Big Bite.
🚚 Delivery ndani ya Mwanza inapatikana kwa gharama za mteja.οΏ½πŸ“¦ Tunatuma pia mikoani kote kwa gharama za mteja.
πŸ“ž 0678 947 637οΏ½πŸ“ž 0710 938 761

Address

Kona Ya Bwiru, Barabara Ya Kilimahewa Karibu Na Bigbite
Mwanza
0000

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jbeez home decor mwanza posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category