GSM Home

GSM Home Furniture I Home Essentials I Office | Interior Design Support
Everyday 09:30AM to 09:30PM

11/05/2026
07/05/2026

Mabadiliko madogo yanaweza kuleta utofauti mkubwa.
Njoo ujionee decor zetu mpya zilizowasili zimechaguliwa kuipa nyumba yako touch ya kipekee. 🫧✨

Tembelea

📍GSM Home - Mikocheni
📍GSM Plaza - Kamata

29/04/2026

Ofisi yenye mpangilio mzuri na furniture bora huleta tofauti kubwa kwenye kazi zako.

Chagua office furniture za kisasa kutoka na uboreshe ufanisi wako wa kila siku.

Wahi leo ujichagulie inayokufaa

📍GSM Home - Mikocheni
📍GSM Plaza - Kamata

27/04/2026

Boresha ofisi yako, ongeza ufanisi wa kazi!
Badili office furniture zako na uipe ofisi yako mwonekano wa kisasa, unaochochea ubunifu na matokeo bora kila siku.

Huu ndio mwanzo sahihi wa safari yako kuelekea mafanikio. 🚀

Na GSM Home tupo hapa kukusaidia kupata suluhisho linalokufaa

Tutembelee leo uchague kilicho bora kwa ofisi yako

📍 GSM Home – Mikocheni
📍 GSM Plaza – Kamata

20/04/2026

NEW ARRIVALS ZA DECOR ZIMEWASILI! 🏡✨

Badilisha muonekano wa nyumba au ofisi yako kwa decor za kisasa na zenye kuvutia. Huu ndio muda wako wa kuipa. nyumba yako utofauti wa kipekee.

Fika leo uchague kinachokufaa kabla havijaisha!

📍 GSM Home - Mikocheni
📍 GSM Plaza - Kamata

17/04/2026

Garden yako inastahili kuwa sehemu ya utulivu, furaha na moments za maana. 🌿✨

Wakati wa kupumzika na familia au kuburudika na marafiki, mazingira mazuri ndiyo huleta tofauti.

tunakuletea samani za kisasa, zenye ubora wa hali ya juu—ili kila kona ya garden yako iwe na upekee,

Tembelea maduka yetu leo:
📍 GSM Home – Mikocheni
📍 GSM Plaza – Kamata

31/03/2026

Anza Quarter 2 ya mwaka kwa mwonekano mpya wa ofisi yako!

Upgrade workspace yako kwa office furniture za kisasa, zenye ubora na comfort ya hali ya juu kutoka
Fanya kazi kwa ufanisi zaidi katika mazingira yanayokuvutia na kukupa motisha kila siku.

Usibaki nyuma badilisha ofisi yako leo iwe ya kisasa na yenye hadhi!

Tembelea GSM Home ujipatie furniture inayokufaa

📍GSM Home Mikocheni
📍 GSM Plaza - Kamata

26/03/2026

🍽️✨ Upgrade jiko lako leo!
Lipe jiko lako muonekano wa kisasa na ubora wa hali ya juu kwa vyombo bora kutoka GSM Home.
Pika, pakua na enjoy kwa staili ya kipekee 🏡🔥

👉 Tembelea GSM Home leo ujichagulie seti inayokufaa!

📍 GSM Home – Mikocheni
📍 GSM Plaza – Kamata

Address

Kinondoni

255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when GSM Home posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to GSM Home:

  • Want your business to be the top-listed Interior Service?

Share