Nyumbani Mall

Nyumbani Mall 🏠 Stylish & Affordable Goods
📞 +255 629 060 703 (WhatsApp/DM)
🚚 Delivery Available | 🕒 Sun-Fri, 8 AM-7:30 PM
✨ Transform Your Space Today!

Cotton Towels 2pc :SOLD OUT ❌❌
11/08/2026

Cotton Towels 2pc :SOLD OUT ❌❌

Hakuna kinachotufurahisha zaidi kuliko kusikia, “Nimeipenda Toiletries Mini Bag yangu!” 🤍Asante kwa kila aliyeagiza, ali...
03/08/2026

Hakuna kinachotufurahisha zaidi kuliko kusikia, “Nimeipenda Toiletries Mini Bag yangu!” 🤍

Asante kwa kila aliyeagiza, aliyetupa maoni, na kutupendekeza kwa wengine. Imani yenu kwetu ndiyo sababu tunazidi kukua kila siku.

Bado hujapata yako? Ni wakati wa kupanga vitu vyako muhimu kwa mtindo na urahisi.

Safiri kwa Stylee

02/08/2026

Ukweli ni huu… watu wenye nyumba zinazopangika hawana muda mwingi kuliko wewe. Wana mfumo.

Kigawa hiki cha droo chenye partitions 20 kinabadilisha fujo kuwa mpangilio ndani ya sekunde chache.

✔️ Un**es na Boxers zina nafasi yake.
✔️ Soksi zina nafasi yake.
✔️Scarfs zina nafasi yake
✔️ Hakuna tena kuchimba droo kila asubuhi.

Anza siku yako ukiwa na utulivu, si stress.

28/07/2026

Kutoka kwenye makopo yaliyotawanyika… hadi kwenye kona yenye uzuri na mpangilio.

Mabadiliko madogo yanayofanya kila siku iwe rahisi.

GlowJars au Spice rack wewe utamua mywetu

26/07/2026

Fikiria ukiingia jikoni asubuhi… sakafu safi na pambe👌🏾muonekano wa kuvutia, na kila kitu kikiwa na hali ya utulivu.

Hisia tunayotaka hizi 2pc zikupe kila siku.

📍Aprons Tsh 25,000

📍 0629060703 Nyumbani Mall | Home Organization



Address

Guangzhou

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nyumbani Mall posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category