03/06/2026
"🏡 Mama, nyumba yako inastahili kuonekana vizuri.
Umefanya kazi kwa bidii, kwa familia yako, kwa watoto wako, kwa nyumba yako.
Lakini lini uliwahi kufanya kitu kizuri kwa ajili yako mwenyewe? Kwa nafsi yako?
Mapazia mazuri, mto laini wa sofa, mkeka wa ubora, hizi si anasa. Ni sehemu ya nyumba inayohisi k**a kweli ni kwako.
Samara House &Homes tuko hapa kukusaidia kubadilisha nyumba yako, kwa bei nzuri, huduma ya kweli, na matokeo ya ajabu."
💬 Tuma ujumbe sasa hivi, tutafanya unachohitaji kote Kenya. Usijali umbali!