19/09/2026
Samaki wa Tafi..
Tafi kwa saana anajulikana saana kwa kuwa samaki wa kupaka. Unaeza mchoma kwa jiko,ama umpake akauke kidogo kisha umkaange kwa mafuta....
Hana mifupa mingi ( mzuri kwa watoto) halafu hana scales,so unapata samaki wa nyama mingi saana 💯
Tuko nayee kwa wingi Dukani, Kilo kwa Shs.700 pekee yake.
Tupigie simu kupitia 0704836769.