Tanfoam Limited

Call Directions Website Contact the business

Tanfoam Limited Tanfoam Limited is in the business of manufacturing and marketing of Quality Mattresses & allied Soft home textile products in the East African region.

Mawlid ni wakati wa kukumbuka na kuenzi mafundisho ya upendo, huruma, amani na kuwajali wengine.Tanfoam inawatakia nyote...
25/08/2026

Mawlid ni wakati wa kukumbuka na kuenzi mafundisho ya upendo, huruma, amani na kuwajali wengine.

Tanfoam inawatakia nyote Mawlid yenye baraka, amani na furaha pamoja na familia na wapendwa wenu.

Beautiful Mwanza, ahsanteni sana kwa kuwa nasi, tunaendelea kuwahudumia kwa kupitia maduka yetu na mawakala wetu walioen...
16/08/2026

Beautiful Mwanza, ahsanteni sana kwa kuwa nasi, tunaendelea kuwahudumia kwa kupitia maduka yetu na mawakala wetu walioenea nchi nzima. untill next time....

15/08/2026

Msimu umekamilika na mmetuheshimisha sana,kwa wale wanaojiuliza Arusha utatupata wapi, tega sikio uyafahamu maduka yetu ila pia usisahau tuna mawakala sehemu mbalimbali za mji pamoja na mikoa mingine nchi nzima

Tunawashukuru sana wateja wetu wote kwa kuwa nasi kwa ukanda wa kaskazini,tumefurahi sana kuwahudumia. Tunaendelea kuwah...
11/08/2026

Tunawashukuru sana wateja wetu wote kwa kuwa nasi kwa ukanda wa kaskazini,tumefurahi sana kuwahudumia. Tunaendelea kuwahudumia kupitia maduka na mawakala wetu kote nchini.

Tunaendelea kujivunia miaka 60 ya ubora,ubunifu na mahusiano kwa kusimamia kikamilifu kauli mbiu ya sherehe za Nanenane ...
08/08/2026

Tunaendelea kujivunia miaka 60 ya ubora,ubunifu na mahusiano kwa kusimamia kikamilifu kauli mbiu ya sherehe za Nanenane kwa mwaka huu, "Tambua soko,ongeza tija"....Heri ya sikukuu ya Nanenane.

07/08/2026

K**a bado haujakamata discount coupon yako Kesho ikiwa ni kilele cha Nanenane wapi mapema ujipatie punguzo la hadi 15%, kumbuka, tupo viwanjani Mwanza, Arusha na Dodoma, karibuni sana.

Mwanza Ulimhola....?Tupo hapa na offer kabambe za msimu huu wa Nanenane, umeshafika kiwanjani? Njoo mapema uondoke na di...
07/08/2026

Mwanza Ulimhola....?
Tupo hapa na offer kabambe za msimu huu wa Nanenane, umeshafika kiwanjani? Njoo mapema uondoke na discount coupon yako mapema kabisa.

Arusha niaje????Usiache kutupitia hapa kwenye viwanja vya Nanenane Njiro, tupo main arena na tuna mengi sana kwaajili ye...
06/08/2026

Arusha niaje????
Usiache kutupitia hapa kwenye viwanja vya Nanenane Njiro, tupo main arena na tuna mengi sana kwaajili yenu,karibuni sana.

Dodoma Bana uje?...Mkuwelu?..kwa wakazi wa Dodoma na miji ya karibu tupo hapa kwa msimu huu wa Nanenane Private Sector P...
04/08/2026

Dodoma Bana uje?...Mkuwelu?..kwa wakazi wa Dodoma na miji ya karibu tupo hapa kwa msimu huu wa Nanenane Private Sector Pavilion 1 no 25, tuna mengi Sana kwaajili yenu, fika ujionee mwenyewe.

Address

13092
Arusha

Opening Hours

Monday 08:00 - 18:00
Tuesday 08:00 - 18:00
Wednesday 08:00 - 18:00
Thursday 08:00 - 18:00
Friday 08:00 - 18:00
Saturday 08:00 - 13:00

Telephone

+255789210210

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanfoam Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Tanfoam Limited:

Shortcuts

Share