03/07/2026
USIKUBALI KULIPIA GHARAMA YA GYPSUM INAYOPASUKA AU KUSHIKA FANGASI! ⚠️
Umeshawahi kuingia kwenye nyumba ukakuta dari (ceiling) ina mawimbi, urembo umepinda, au mikanda imeanza kutoa fangasi na kububujika kwa sababu ya unyevu? Hiyo inatokea kwa sababu ya kuchagua mafundi wa bei nafuu wasio na utaalamu, au kutumia vifaa visivyo sahihi.
Nyumba yako ni uwekezaji wa maisha yako yote, usiiache mikononi mwa watu wanaojaribisha kazi!
GYPSUM MZURI TANZANIA tuko hapa kukupa amani ya moyo na mjengo wa ndoto zako. 🔥
KAZI ZETU
(a) DESIGN ZA MAUA YA KISASA: Tunatengeneza maua ya aina zote za kisasa kwa kutumia unga wa Plaster of Paris (P.O.P)
(b) MIKANDA YA P.O.P INAYODUMU: Tuna Tengeneza mikanda ya kisasa kabisa. Mikanda yetu inatengenezwa kitaalamu tukiwa hapohapo site kwako, ni migumu na inastahimili Maji na Fangasi.
(c) MODERN TV SHOWCASES /TV WALL: Tuna Design Sehemu yako ya TV ya kisasa na kuvutia, ikiwa na nafasi safi za taa (LED) na nyaya kufichwa kiustadi.
(d) CABINETS ZA KIFAHARI: Maalum kwa ajili ya kuhifadhi w**e, picha za familia, na maua ya mapambo ya ndani.
(e) ARCH, MOLDING & SKIRTING: Tuna Design Molding, Arch za Gypsum na Skirting za Gypsum
(f) UFUNGAJI WA PVC BOARD: Tunafunga PVC BOARD za kisasa.
(g) BLANDARING NA GYPSUM BOARD: Tunagonga mbao za Brandaring na Kufunga Gypsum Board kwa usalama wa hali ya juu.
KWANINI UTUAMINI SISI?
(a) Sisi ni Mafundi wa kisasa Tunafanya kazi kwa Ubora, Unadeal na mafundi makini wenye uzoefu wa miaka mingi na kazi safi.
(b) Ushauri wa Bure wa Design: Hujui uweke muundo gani unaoendana na sebule yako? Tunakushauri na kukuonyesha catalogi za kisasa kabisa BURE!
(c) Gharama Nafuu Sio Ahadi, Ni Uhalisia: Tunafanya kazi ya kiwango cha juu (Premium Quality) kwa bei inayotunza mfuko wako
Mteja Kwetu ni Mfalme: Hatubishani na mteja, tunasikiliza mawazo yako na kuyageuza kuwa uhalisia kwenye Nyumba yako. 🏠
📍 Eneo la Kazi: Makazi yetu yapo Dar es Salaam, lakini huduma zetu hazina mipaka. Tunakufuata NDANI NA NJE YA DAR ES SALAAM!
📲 WASILIANA NASI TUPIGE KAZI:
📞 Piga Simu/SMS: 0679 609 354
WhatsApp Direct: Gusa link hii 👇
https://wa.me/255679609354
page👉 Gypsum Mzuri Tanzania