22/08/2026
Muonekano wa kisasa kabisa kwa ajili ya mjengo wako! 🖤⚙️
Mlango huu wa usalama wa Matte Anthracite Grey wenye mistari ya Stainless Steel unaleta muonekano wa kipekee kabisa mlango wa mbele:
◾Finish ya Kifahari: Haichuji rangi, haipatwi na kutu, na ni rahisi kusafisha.
◾Ulinzi Thabiti: Kufuli za kisasa za Multi-Point Locking System kwa ajili ya usalama wa familia yako.
◾Muundo wa Kipekee: Unaweza kuchagua mpini mrefu wa kileo (vertical pull bar) au mpini wa kawaida (lever handle).
📍 Showroom: Mikocheni A, Mwai Kibaki Road
📞 Simu/WhatsApp: 0676 111 700
🌐 SIMBA Doors & Windows — Setting The Standard.