07/06/2026
📍Vikawe Pwani
✔️Vifaa vimewasili na vimeanza kushushwa rasmi katika mradi wetu uliopo Pwani.
✔️Hii ni hatua muhimu kuelekea kukamilisha ujenzi kwa ubora na kwa wakati uliopangwa.
✍️Hatua inayofuata ni kazi ya plaster, ambayo itaendelea kuupa jengo mwonekano na uimara unaostahili.
💯Tunaendelea kusonga mbele hatua kwa hatua kuelekea mafanikio ya mradi huu.
☎️Wasiliana nasi
+255654640287/+255684824770[ WhatsApp & Calls ]