Witness house ware

Call Directions Website Contact the business

Witness house ware karibu witness house ware tupendezeshe nyumba zetu kwa bei nafuu 🔱
tupigie 0675860522

28/07/2026

Tupo kariakoo aggrey na swahili #

28/07/2026

❤️ ❤️

27/07/2026

❤️ ❤️

Bedskirt pazia zipo dukani 65,000 tu Tupo kariakoo aggey na swahili 0675860522
26/07/2026

Bedskirt pazia zipo dukani
65,000 tu
Tupo kariakoo aggey na swahili
0675860522

26/07/2026

Kazi za Heating Pad ya Hedhi (Menstrual Heating Pad):

* Hupunguza maumivu ya hedhi kwa kulegeza misuli ya mfuko wa uzazi.
* Hupunguza maumivu ya tumbo la chini na mgongo yanayotokana na hedhi.
* Huongeza mzunguko wa damu katika eneo linalowekwa, jambo linalosaidia kupunguza mkazo wa misuli.
* Hupunguza kukaza kwa misuli na hali ya kutokuwa na raha wakati wa hedhi.
* Hutoa joto lenye kutuliza mwili na kusaidia kujisikia vizuri bila kutumia dawa.

Jinsi ya kutumia:

* Weka heating pad kwenye tumbo la chini au mgongoni kwa dakika 15–20 kwa kila matumizi.
* Tumia kiwango cha joto kinachokufaa.
* Epuka kuiweka moja kwa moja kwenye ngozi ikiwa ina joto kali sana, na usilale ukiwa umeiwasha ili kuepuka kuungua.

25/07/2026

* Heating Pad*
Huu mkanda ni msaada tosha ukiwa unapata hedhi unaosaidia kupunguza Maumivu ya Tumbo na Mgongo.

*Bei*:30000 ❤️

OFFER OFFER OFFER OFFER 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 BEI IMEKUFA BEI IMEKUFA https://chat.whatsapp.com/Dxy3WJEWvKgAr5bae7mZAg✅✅Karibu kwe...
20/07/2026

OFFER OFFER OFFER OFFER
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 BEI IMEKUFA BEI IMEKUFA
https://chat.whatsapp.com/Dxy3WJEWvKgAr5bae7mZAg

✅✅Karibu kwenye group la WITNESS HOUSE WARE ,ni wauzaji wa vitu mbali mbali Kwa Bei ya jumla na rejareja....pia tunatoa ushauri Kwa wajasiliamali wa aina yoyote
https://chat.whatsapp.com/Dxy3WJEWvKgAr5bae7mZAg

✅✅ Duvet 1 shuka 1 foronya 2 Bei ni 30,000 jumla 28,000 kuanzia 10
✅✅ Duvet 1 shuka 2 foronya 4 Bei ni 38,000jumla 36,000 kuanzia PC 10
✅✅Shuka 2 foronya 4 Bei ni 21,000 jumla 20,000 kuanzia PC 5
✅✅Net pembe nne ni 22,000 jumla 20,000 kuanzia 10
✅✅Net ya reli ya kisasa ni 85,000
✅✅sofa cover single seat 25,000 double seat 30,000 triple seat ni 35,000 full seat 115,000
✅✅Mzigo mpya wa 𝐩𝐚𝐳𝐢𝐚 rangizote Bei za pazia Mita 1.5 = 13,000 Mita 2 = 18,000 BEI ZA SETI SETI ya Mita 1.5 =35,000 SETI ya Mita 2 =45,000
✅✅Bomba za pazia double miter mbili Bei 23,000 mita mbili single 14,000
Follow this link to join my whatsapp
https://chat.whatsapp.com/Dxy3WJEWvKgAr5bae7mZAg
✅✅Whatsapp 0675860522
✅✅ piga 0675860522
✅✅Tunapatikana kariakoo mtaa wa aggrey na swahili
https://chat.whatsapp.com/Dxy3WJEWvKgAr5bae7mZAg

✅✅NOTE Delivery tunafanya Dar es salaam nzima Kwa gharama za mteja,

Kwa wateja walioko mkoani bidhaa tunatuma Kwa gharama za mteja lakini pia k**a una ndugu au jamaa Ambae yupo dar unaweza tuunganisha nae Ili kupata mzigo wako kiurahisi

https://chat.whatsapp.com/Dxy3WJEWvKgAr5bae7mZAg

18/07/2026

stainless steel pressure cooker orignal lita 5/ 175000
lita 6/190000
lita 8/220000 ❤️ ware

18/07/2026

Tupo kariakoo aggrey na swahili ❤️

Address

Kariakoo Mtaa Wa Aggrey Na Swahili
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Witness house ware posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Witness house ware:

Shortcuts

Share

Category