08/09/2026
Asuma Majid mfano wa kijana anayethubutu, anayeamini na anayefanya 💃🏽💪🏽
Katika hafla yetu ya graduation, tulipata heshima ya kuwa na Asmah , kijana aliyeamua kugeuza ndoto yake kuwa uhalisia kwa kuanzisha biashara yake ya Asma_Staples
Ujumbe wake kwa wahitimu ulikuwa wa thamani kubwa: usiogope kuanza, jiamini, tumia nguvu ya social media na content kujitangaza, na jenga biashara yako kwa ubunifu na uthubutu.
Asuma Majid tunajivunia kuwa nawe nasi katika hatua hii muhimu. Vijana wanapowezeshwa na kupewa ujasiri wa kuamini uwezo wao, wanaweza kujenga kesho yao wenyewe.