ikeda companytz

Directions

ikeda companytz Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from ikeda companytz, Home decor, sinza, Dar es Salaam.

04/09/2026
14/06/2026

Kituo cha Upendo Rehabilitation Center kimeeleza changamoto mbalimbali zinazowakabili na inatoa wito kwa watanzania kuweza kutoa Msaada kwa yeyote aliyeguswa.

Mahitaji yanayohitajika ni k**a Chakula,Pempasi za watoto, gloves, pamoja Bima za Afya za watoto wanaopatikana katika kituo hicho.

Kwa mawasiliano zaidi unaweza kupiga simu namba
0777 952 323

Lakini pia unaweza kutuma sadaka yako kupitia namba👇👇

Lipa namba ya Yas 45623293.
Upendo rehabilitation center

CRDB
0150601256200

14/06/2026

Dost Media tumetembelea katika kituo cha Upendo Rehabilitation Center ambacho kinapatikana maeneo ya Kimara S**a Jijini Dar ES Salaam.

Kituo hiki kinajihusisha zaidi na kuwapa huduma watoto wenye mahitaji maalumu k**a vile watoto wenye matatizo ya Usonji,watoto wenye matatizo ya Viungo pamoja na watoto wenye matatizo ya utindio wa ubongo.

Kwahiyo watoto wenye matatizo hayo kituo hiki wanawapa huduma ya mazoezi tiba,malazi pamoja na elimu maalumu kwa watoto wenye Usonji.

Mpaka hivi kituo hiki kina watoto zaidi ya Hamsini ambao wanamatatizo hayo lakini pia uongozi wa Upendo Rehabilitation Center wamewaomba wazazi wote wenye watoto k**a haya wawapeleke kwa lengo la kuwapa huduma.

Kwa mawasiliano zaidi unaweza kupiga siku namba
0777 952 323

Lakini pia k**a utakuwa na chochote kitu tunaomba Msaada wako kupitia namba hizi 👇👇

Lipa no 45623293.
Upendo rehabilitation center

CRDB
0150601256200



14/06/2026

Taasisi ya All One Aid imeweza kutembelea katika kituo cha Upendo Rehabilitation Center kinachopatikana Kimara S**a jijini Dar Es Salaam na kutoa Msaada katika kituo hicho,pia wameweza kuwaomba watanzania wengine kuweza kujitokeza katika kituo hicho na kwenda kuwapa faraja watoto wanaopatikana hapo.

Kwa mawasiliano zaidi unaweza kuwasiliana na uongozi wa kituo hicho kupitia simu namba👇👇
0777 952 323

Lakininpia sadaka yako unaweza kutuma kupitia Lipa namba ya Yas

45623293
Upendo rehabilitation center

CRDB
0150601256200


13/06/2026

09/06/2026

Ni jumamos hii

27/05/2026

Address

Sinza
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ikeda companytz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category