Kinka Pc

Call Directions Website Contact the business

Kinka Pc Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kinka Pc, Nyankumbu Mataa ya juu, Geita.

Computer Stores & Accessories

Tunapatikana
Geita 🇹🇿
📍Kasota Stand
📍Nyankumbu - Mataa ya juu

Call/WhatsApp: +255 764 611 871
No free derivery | No cash return

17/07/2026
📘 SOMO LA 4:Tofauti kati ya HDD na SSD💾 HDD (Hard Disk Drive)✔ Bei nafuu✔ Nafasi kubwa ya kuhifadhi mafaili✔ Inafaa kwa ...
28/05/2026

📘 SOMO LA 4:
Tofauti kati ya HDD na SSD

💾 HDD (Hard Disk Drive)
✔ Bei nafuu
✔ Nafasi kubwa ya kuhifadhi mafaili
✔ Inafaa kwa movies, music, documents na matumizi ya kawaida

Hasara yake:
❌ Speed yake ni ndogo kidogo

⚡ SSD (Solid State Drive)
✔ Speed kubwa sana
✔ Computer kuwaka haraka
✔ Programu kufunguka fasta
✔ Inapunguza kuganda kwa computer

Inafaa kwa:
🎬 Editing
🎧 Studio
💼 Office nzito
🎮 Games
Na kazi zinazohitaji speed kubwa

👉 “SSD ni k**a kuongeza injini ya speed kwenye computer yako.”

Mfano:
Computer yenye HDD inaweza kuwaka ndani ya dakika 1
Lakini yenye SSD inaweza kuwaka ndani ya sekunde 10–20 tu 🚀

📘 SOMO LA 3:RAM ni nini na kwa nini ni muhimu?🧠 RAM ndiyo “speed ya akili ya computer”Kazi yake ni kusaidia computer kuf...
27/05/2026

📘 SOMO LA 3:
RAM ni nini na kwa nini ni muhimu?

🧠 RAM ndiyo “speed ya akili ya computer”
Kazi yake ni kusaidia computer kufanya mambo mengi kwa haraka bila kuganda au kuchelewa.

Mfano:
Ukifungua Chrome, Word, kuplay Music, Kuconvert, kukopy vitu sehem nyingi kwa wakati mmoja n.k kwa pamoja
RAM ndiyo inayosaidia vyote vifanye kazi vizuri kwa wakati mmoja.

🔹 4GB RAM
Inafaa kwa matumizi ya kawaida
(Word, typing, browsing, Kulusha movies)

🔹 8GB RAM
Inafaa kwa biashara, office na matumizi ya kila siku kwa speed nzuri (kwa wenye foleni kubwa ya wateja)

🔹 16GB RAM
Kwa kazi nzito zaidi
(Video editing, gaming, graphics, multitasking kubwa) pia humcheleweshi mteja

👉 RAM ikiwa ndogo sana computer inaweza kuwa nzito au kuganda
👉 RAM kubwa inasaidia computer kufungua programu kwa haraka na kufanya kazi smoothly bila kukwama 💻🖥️

📘 SOMO LA 2:  Tofauti kati ya Processor i3, i5 na i7Processor ni “ubongo” wa computer 💻🧠Kazi yake ni kufikiria na kuende...
26/05/2026

📘 SOMO LA 2:
Tofauti kati ya Processor i3, i5 na i7

Processor ni “ubongo” wa computer 💻🧠
Kazi yake ni kufikiria na kuendesha kila kitu ndani ya computer.

Mfano: Ukifungua music, kuandika Word, kucheza game, Kuconvert au kuingia internet — processor ndio inayochakata hizo kazi zote.

Processor huwa na aina k**a:
Intel Core i3
Intel Core i5
Intel Core i7

Tofauti yake ni nguvu na speed ya kazi.

💻 i3
Inafaa kwa matumizi ya kawaida (typing, browsing, Excel)
💻 i5
Kwa ofisi na biashara (kazi nzito)
Ina speed nzuri
💻 i7
Kwa kazi nzito zaidi (design, video editing, programming)
Inaokoa unamsongamano wa wateja/kazi kwenye biashara yako

👉 “Chagua processor kulingana na kazi yako, siyo kwa sifa tu.”

📘 SOMO LA 1:Kuelewa Computer kabla ya kununuaWateja wengi hununua bila kujua tofauti ya vifaa.💻 Computer ina sehemu kuu ...
25/05/2026

📘 SOMO LA 1:
Kuelewa Computer kabla ya kununua

Wateja wengi hununua bila kujua tofauti ya vifaa.
💻 Computer ina sehemu kuu 4:
Processor (i2, i3, i5, i7)
RAM (speed ya kazi)
HDD/SSD (uhifadhi)
Motherboard (sehemu inayounganisha vifaa vyote)

👉 Computer nzuri si bei tu, ni matumizi yako ndio yanayoamua.

Ukizungumzia SPEED, basi HP Z210 ndio habari ya mjini hadi vijijini! 🌍✨Mashine ya kazi kweli—ipo fasta, imara na inafany...
24/04/2026

Ukizungumzia SPEED, basi HP Z210 ndio habari ya mjini hadi vijijini! 🌍✨
Mashine ya kazi kweli—ipo fasta, imara na inafanya kazi zako zote bila kusuasua 💎

💻 Jipatie Computer Complete:
🔹 HP Z210
🔹 HDD 500GB
🔹 RAM 4GB
🔹 Monitor 24”
🔹 Keyboard & Mouse

💰 Bei ni nafuu sana + unapata punguzo la kipekee 🎁

🚀 Inafaa kwa:
✔ Ofisini
✔ Biashara (Cyber, Library, Studio, Printing, nk)
✔ Matumizi ya nyumbani na masomo

🖼 BONUS:
Pata mabango HD tayari yameandaliwa kabisa — unafika unachagua, hakuna kusubiri foleni!

📲 Wahi mapema uwe wa kwanza kupata ofa hii kabla hazijaisha!

🌅✨ Hayupo tena kaburini, Amefufuka! ✨🌅Kinka Pc tunaungana na Wakristo wote kusherehekea neema na ushindi wa kufufuka kwa...
05/04/2026

🌅✨ Hayupo tena kaburini, Amefufuka! ✨🌅

Kinka Pc tunaungana na Wakristo wote kusherehekea neema na ushindi wa kufufuka kwa Yesu Kristo katika Sikukuu ya Pasaka.

Katika kipindi hiki cha tumaini jipya, tunawatakia wateja wetu na familia zenu:
🤍 Amani ya kweli
🤍 Upendo wa dhati
🤍 Mafanikio mapya

Asanteni kwa kuendelea kutuamini na kutuchagua. Tutaendelea kuwahudumia kwa uaminifu na ubora wa hali ya juu.

Heri ya Pasaka! 🙏✨



K**a ilivyo desturi ya siku na tarehe k**a ya jana, huwa ni siku ya ukimya 🤫, tafakari 🕯️, na shukrani 🙏.Tunapenda kukuk...
04/04/2026

K**a ilivyo desturi ya siku na tarehe k**a ya jana, huwa ni siku ya ukimya 🤫, tafakari 🕯️, na shukrani 🙏.

Tunapenda kukukaribisha kwenye duka letu ili tukuhudumie mteja wetu mpendwa 💖. ⁣⁣⁣⁣

Hapa dukani kwetu, kuna bidhaa mbalimbali zinazokidhi mahitaji yako, k**a vile:
Kompyuta Mpya 💻
Hard Disk Original 💾
Mabango HD 🖼️ n.k.

Tunafuraha kukujulisha kuwa kesho na kesho kutwa tutakuwa na offa maalum ya punguzo la bei 💰, k**a shukrani na sadaka kwa wewe, mteja wetu wa thamani 🌟.

Pamoja tuko nawe, tena na tena 🤝✨

K**a ilivyo desturi yetu, tunaendelea kujitahidi kuboresha maisha ya wateja wetu kwa kuwaletea huduma bunifu na zenye ti...
01/04/2026

K**a ilivyo desturi yetu, tunaendelea kujitahidi kuboresha maisha ya wateja wetu kwa kuwaletea huduma bunifu na zenye tija 💼✨

Leo tunajivunia kumtambulisha Mteja wetu wa nguvu __________ kutoka Nyehunge 👏🔥

Alianza safari yake kwa kuwekeza kidogo kidogo kupitia mfumo wetu wa HABA & HABA 💰➡️💻
Na hatimaye leo amefikia lengo lake na kuchukua Computer Complete kwa bei elekezi maalum kutoka kwa Mr. Bei Kitonga ya Tsh 350,000 tu 🥳

Sio hivyo tu!
Pia ametuchangia HDD 3TB kwa bei ya punguzo 🎉💾

Hongera sana kwa uamuzi sahihi na uwekezaji wenye tija! 👏

Na wewe pia karibu ujiunge nasi 🤝

Endelea kuwa mwanafamilia wetu, ujifunze kuhusu fursa mbalimbali za uwekezaji kupitia huduma zetu pamoja na mbinu rahisi na salama za kuongeza mtaji wako 📈

📲 Tufollow kwenye mitandao ya kijamii:

🤙 0764611871




Address

Nyankumbu Mataa Ya Juu
Geita
2022

Opening Hours

Monday 08:00 - 21:00
Tuesday 08:00 - 21:00
Wednesday 09:00 - 21:00
Thursday 08:00 - 21:00
Friday 08:00 - 21:00
Sunday 10:00 - 16:00

Telephone

+255713657793

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kinka Pc posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kinka Pc:

Shortcuts

Share