07/06/2026
📢 TUNAAJIRI – INTERIOR DESIGN HOST
Je, una uwezo mzuri wa kuwasiliana na watu, unapenda ubunifu na unatamani kufanya kazi katika kampuni inayokua kwa kasi kwenye sekta ya Interior Design?
NGOWI DESIGN inatafuta mtu mwenye kujiamini, mwenye nidhamu ya kazi na anayependa kujifunza ili kujiunga na timu yetu k**a Interior Design Host.
Tunatafuta mtu mwenye:✅ Uwezo mzuri wa mawasiliano✅ Ubunifu na fikra chanya✅ Kujiamini mbele ya wateja✅ Uwezo wa kufanya kazi kwa ushirikiano✅ Nidhamu na uwajibikaji
Jiunge nasi na upate fursa ya kufanya kazi katika mazingira ya kitaalamu, kujifunza, kukua na kuwa sehemu ya timu inayobuni nafasi za kisasa na za kipekee.
📞 Tupigie kwa Simu/WhatsApp: +255 656 296 029📧 Barua Pepe: [email protected]
Tuma maombi yako leo.
📢 WE ARE HIRING – INTERIOR DESIGN HOST
Are you a confident communicator with a passion for creativity and Interior Design?
NGOWI DESIGN is looking for a motivated and professional individual to join our team as an Interior Design Host.
We’re looking for someone with:✅ Excellent communication skills✅ Creativity and positive thinking✅ Confidence when dealing with clients✅ Ability to work in a team environment✅ Strong discipline and responsibility
Join us and enjoy the opportunity to grow your career in a professional and creative working environment while contributing to unique and inspiring design projects.
📞 Call/WhatsApp: +255 656 296 029📧 Email: [email protected]
Apply today and become part of our vision.